Shabiki anatembea Mbeya kuja Dar kuishuhudia Simba na TP Mazembe

Kuna saa nachukia mitazamo yatu sisi weusi sijui tuna laana gani sasa badala ya watu kumpa support ndo wanaanza kumuona anatafuta kiki. Angekua mzungu apo tungemuona bonge la mjanja embu acheni izo mambo bana kuna watu wamepita apa tz kwa miguu toka western country’s kwa miguu sasa uyu wetu tunamuona kichaa aisee utumwa wa akili ni mbaya sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…