Sanchez magoli
JF-Expert Member
- Apr 24, 2015
- 4,055
- 8,540
Nilikuwa nimetoka garage angalia nganga langu mama angu: Nipo bush ifakara sasa hivi aki tena.Aiseee
Kumbe unajua kuwa hairuhusiwi kupita kwa miguu sasa unauliza nini?NAULIZA
Alipitaje pale katika Mbuga ya Mikumi ?
Wakati haaruhusiwi kupita kwa Miguu ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimebiwa alipandisha kwenye gari la maliasili eneo hiloKumbe unajua kuwa hairuhusiwi kupita kwa miguu sasa unauliza nini?
MmmhNilikuwa nimetoka garage angalia nganga langu mama angu: Nipo bush ifakara sasa hivi aki tena.
hahaha mbona ivyo tena mamaMmmh
Wala hamnahahaha mbona ivyo tena mama
uko vedi lakini mamaWala hamna
Hawawezi kumtafuna shabiki waoPale mikumi Simba watamfanya kitoweo.
Mikumi ameshapita yupo kibaha sasaPale mikumi Simba watamfanya kitoweo.
Wewe nafikiri ndio unamsujudu mzungu maana hapa anaongelewa mwafrika na watu wanatoa mawazo yao kutokan ana vile wanaona. Wewe msifie tu kama unaona anachofanya kina maana.Kuna saa nachukia mitazamo yatu sisi weusi sijui tuna laana gani sasa badala ya watu kumpa support ndo wanaanza kumuona anatafuta kiki. Angekua mzungu apo tungemuona bonge la mjanja embu acheni izo mambo bana kuna watu wamepita apa tz kwa miguu toka western country’s kwa miguu sasa uyu wetu tunamuona kichaa aisee utumwa wa akili ni mbaya sana
Ndiwooo babaauko vedi lakini mama
Njombe hatari mkuu aisee kupelekewa condom muhimu wale jamaaNilipigwa na baridi pale makambako acha kabisa Mkuu. Kuna upepo mkali na ile baridi duh! Baridi ya njombe niliipenda.
Mbeya to dar ni km 700. Sasa kadiria kwa siku atatembea km35 inamaana atatumia 20 days. Siyo rahisi kuweza kutembea kila siku miguu itachubuka lazima.
Kiki tuu, watu wanapenda kuonewa huruma.Alitegemea atapata zali kama la yule wa Manyara kipindi cha Taifa stars ...Bila shaka atakua alishafika Dar[emoji16] ,hivi kutembea Kwa miguu ndyo uzalendo Kwa timu yako?, ama pia nauli ilizingua ,aseme ukweli[emoji3],
Sent using Jamii Forums mobile app
Kashapata zali mbona??Anapelekwa Congo Lubumbashi!!Na Simba ikishinda atawaona EsperanceKiki tuu, watu wanapenda kuonewa huruma.Alitegemea atapata zali kama la yule wa Manyara kipindi cha Taifa stars ...