Shabiki anatembea Mbeya kuja Dar kuishuhudia Simba na TP Mazembe

Shabiki anatembea Mbeya kuja Dar kuishuhudia Simba na TP Mazembe

Kuna saa nachukia mitazamo yatu sisi weusi sijui tuna laana gani sasa badala ya watu kumpa support ndo wanaanza kumuona anatafuta kiki. Angekua mzungu apo tungemuona bonge la mjanja embu acheni izo mambo bana kuna watu wamepita apa tz kwa miguu toka western country’s kwa miguu sasa uyu wetu tunamuona kichaa aisee utumwa wa akili ni mbaya sana
Wewe nafikiri ndio unamsujudu mzungu maana hapa anaongelewa mwafrika na watu wanatoa mawazo yao kutokan ana vile wanaona. Wewe msifie tu kama unaona anachofanya kina maana.
 
SiSi mashabiki wa simba tulimsubiri kitonga tuumpe hela ya maji lakin atujamuoma
sokaplace_-20190405-0001.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilipigwa na baridi pale makambako acha kabisa Mkuu. Kuna upepo mkali na ile baridi duh! Baridi ya njombe niliipenda.
Njombe hatari mkuu aisee kupelekewa condom muhimu wale jamaa

Sent from my TECNO K7 using Tapatalk
 
Kwa siku mtu mzima mwenye afya nzuri anaweza tembea km 100 mpaka 200.
Japo kwa huyo mtafuta kiki alipanda gari baadhi ya sehemu, asingeweza kufika Dar kirahisi.
Mbeya to dar ni km 700. Sasa kadiria kwa siku atatembea km35 inamaana atatumia 20 days. Siyo rahisi kuweza kutembea kila siku miguu itachubuka lazima.
 
Back
Top Bottom