Shabiki anatembea Mbeya kuja Dar kuishuhudia Simba na TP Mazembe

Angesema achangiwe nauli.. hii kazi Yanga tu wangefanikisha.
 
Pale mikumi Simba watamfanya kitoweo.
Siyo mikumi tu,yani akiikatisha makambako,mafinga mufindi hicho kipande kina baridi na mvua za kutosha.😃Mbeya kuja Dar si angedandia mafuso ya ndizi na viazi yapo mengi tuu au anajiboost na kitu cha malawi.
 
Reactions: BAK
Nilipigwa na baridi pale makambako acha kabisa Mkuu. Kuna upepo mkali na ile baridi duh! Baridi ya njombe niliipenda.

Siyo mikumi tu,yani akiikatisha makambako,mafinga mufindi hicho kipande kina baridi na mvua za kutosha.😃Mbeya kuja Dar si angedandia mafuso ya ndizi na viazi yapo mengi tuu au anajiboost na kitu cha malawi.
 
Ilibidi jeshi letu la polisi mbeya wamkabidhi smg na risasi za kutosha kuepuka usumbufu wa nyani na kuvuka kihunzi cha mbuga ya wanyama mikumi
 
Kama pesa anayo ni swala la kawaida ila kama hana kitu ni mpumbavu,wazungu wanakuwaga na bajeti tayari ishaandaliwa

mpuuzi mpuuzi tu
 
hesabu zinagoma kutembea kwa miguu mbeya to dar (813km) kwa muda uliopo, hata kama alianza safari siku ile ya draw

thanks to god the almighty
 
Mbeya to dar ni km 700. Sasa kadiria kwa siku atatembea km35 inamaana atatumia 20 days. Siyo rahisi kuweza kutembea kila siku miguu itachubuka lazima.
Labda wanaume wa dar ndiyo wanatembea km 35 kwa siku wamechoka,huku mikoani watu wanatembea km 100 na zaidi kwa siku na miguu haichubuki
 
Sio kwamba tunachuki binafsi, tatizo letu waafrika tunafanya mambo pasipokuangalia uhalisia, mbeya to dar ni zaid ya km 800,fanya hesabu tu rahisi kwa siku atatembea umbali gani ili awe dar na kuweza kuona hiyo mechi!!!?? Je umbali huo kwa mguu unawezekana? Wazungu wanafanya mambo ki uhalisia hata wewe kimahesabu unakubali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…