Acha kumfagilia BASHITE kahusika vipi hapo???kwanza yeye ndiye zake hizo kuonea watu wasio na hatia!!!!Hapana makonda aliamuru aachiwe palepale uwanjani
Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
Kwa vurumai hiyo Polisi si rahisi tena kupata ushirikiano toka kwa raia wema,maana kama unyama unyama tu!!Lakini wale poilisi walifanya ile kazi ya kumkamata kwa weledi sana. Maana niletegemea labda hivi sasa awe ICU Muhimbili kama aliyepata ajali ya boda boda.
Nani kasema matukio ya aina hiyo ni sahihi au yaruhusiwe..?Jambo likitokea ulaya haina maana kuwa ni sawa tu, huko ulaya ikitokea hivyo shabiki anahojiwa kama kawaida kwa sababu ni breach ya security. Huwezi kujua intent yake na mental stability yake ipoje hivyo scrutiny lazima huwa inafanyika.
Unachoona kinatokea ulaya ni tukio lakini hujui nini kinaendelea behind the scene (baada ya tukio hilo). Wazungu hawana mzaha na security issues.
Alf utaskia zenj ikisema hakuna
Mashoga huko wakat huko ndo
Wanaanzia kupakuliwa
Ndo maana unaona saloon/barbershop
Nyingi skuhiz n wanaume hawa
Mabwabwa ndo wanafanyw hyo kaz
Triple A
Polisi wenyewe wale waliomkata 2 ni mashabiki wa Manu, hivyo nao walipata fursa ya kumwona rooney karibu zaidi na ulaya nao sasa wanaonekana sababu ya jamaa!Lakini wale poilisi walifanya ile kazi ya kumkamata kwa weledi sana. Maana niletegemea labda hivi sasa awe ICU Muhimbili kama aliyepata ajali ya boda boda.