Shabiki avamia uwanja na kumkumbatia Rooney

Shabiki avamia uwanja na kumkumbatia Rooney

Hapana makonda aliamuru aachiwe palepale uwanjani

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
Acha kumfagilia BASHITE kahusika vipi hapo???kwanza yeye ndiye zake hizo kuonea watu wasio na hatia!!!!
 
Lakini wale poilisi walifanya ile kazi ya kumkamata kwa weledi sana. Maana niletegemea labda hivi sasa awe ICU Muhimbili kama aliyepata ajali ya boda boda.
Kwa vurumai hiyo Polisi si rahisi tena kupata ushirikiano toka kwa raia wema,maana kama unyama unyama tu!!
 
Jambo likitokea ulaya haina maana kuwa ni sawa tu, huko ulaya ikitokea hivyo shabiki anahojiwa kama kawaida kwa sababu ni breach ya security. Huwezi kujua intent yake na mental stability yake ipoje hivyo scrutiny lazima huwa inafanyika.

Unachoona kinatokea ulaya ni tukio lakini hujui nini kinaendelea behind the scene (baada ya tukio hilo). Wazungu hawana mzaha na security issues.
Nani kasema matukio ya aina hiyo ni sahihi au yaruhusiwe..?

Hili nalifahamu,baadhi ya mashabiki wanaofanya vitendo hivyo hupelekwa mahakamani au kutozwa faini au marufuku yakutotazama mechi uwanjani.

Mfano; Shabiki huyu alimuvamia Christian CR7 huko Miami katikati ya mechi,baada ya tukio hilo alifikishwa mahakamani,,

Hapa ilibaki huruma ya mchezaji...CR7 aliwaandikia barua ya kumuombea bwana mdogo msamaha.
1500045906408.jpg


Nipo katika soka miaka 17 sasa, 17 Miaka si haba kusakata kandanda na kutazama ulimwengu wa kandanda!
 
Alf utaskia zenj ikisema hakuna
Mashoga huko wakat huko ndo
Wanaanzia kupakuliwa

Ndo maana unaona saloon/barbershop
Nyingi skuhiz n wanaume hawa
Mabwabwa ndo wanafanyw hyo kaz

Triple A



Wanakataa tu kwa ajili ya haibu, wenyewe ndiyo waliendekeza huu ujinga.
 
Lakini wale poilisi walifanya ile kazi ya kumkamata kwa weledi sana. Maana niletegemea labda hivi sasa awe ICU Muhimbili kama aliyepata ajali ya boda boda.
Polisi wenyewe wale waliomkata 2 ni mashabiki wa Manu, hivyo nao walipata fursa ya kumwona rooney karibu zaidi na ulaya nao sasa wanaonekana sababu ya jamaa!
 
Hata Mbele Huko Alikotoka Rooney Huwa Yanatokea So Msimshangae Sana. Rooney Ni Mpenzi Wake!!
 
Back
Top Bottom