martini enock
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 635
- 274
Wanaotoka kwetu mikoani Sio jasiri Kama walivyo wanaume WA DarHuyu nimeambiwa kaja Jana kutoka huko mkoani kwenu [emoji12]
Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
Hko kwenu mtabakia kuona kwenye tv tu poleniWanaume wa Dar mnavichekesho ninyi
Mkuu.Aka nyee debe sasa. Analeta utani kazini?
Hapana makonda aliamuru aachiwe palepale uwanjani
Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
Tangu mlivyolijua Kiki kila kitu nyie kiki bado kwenda kukata gogo mtasema ni kutafuta kikiNaona Anatafuta Kick kwa Pikipiki
Haipendezi kwa mtoto wa kiumeHongera kwake kwa kutimiza ndoto
haha! kwani na wewe hauzijui ndoto za mchana..Ndoto nyingine bhana...
Basi Sawa tuu