Shabiki avamia uwanja na kumkumbatia Rooney

Shabiki avamia uwanja na kumkumbatia Rooney

Huyu nimeambiwa kaja Jana kutoka huko mkoani kwenu [emoji12]

Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
Wanaotoka kwetu mikoani Sio jasiri Kama walivyo wanaume WA Dar

Sent from my TECNO-W3LTE using JamiiForums mobile app
 
Sion kama kuna haja ya kumsulubu huyo shabiki mana ni mihemko na shauku ya kumona Rooney live

Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
 
IMG-20170713-WA0043.jpg


Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Eti ametiza ndoto!

Something is wrong somewhere!

- KANA -
 
Jamaa katimiza ndoto. Kapata na picha za kumbukumbu kabisa

Sent from my LG-D855 using JamiiForums mobile app
 
Ni jambo la kawaida... Ntashangaa kama police watamudhibu badala ya kuadhibiwa kwa sheria za kimichezo
 
Back
Top Bottom