Shabiki huyu kanichosha khaaa....

Ya kwanza sawa ila ya pili natofautiana na wewe mkuu. Argentina natamani wafe nyingi tuu

Unatamani lakini haitakuwa mjomba. Kama unakumbuka last match spain alipokea kipigo cha goli 4,, usishangae na leo wakapigwa..
 
Unatamani lakini haitakuwa mjomba. Kama unakumbuka last match spain alipokea kipigo cha goli 4,, usishangae na leo wakapigwa..
Badala ya 4 hatimae zikawa 6.
What I wished to happen to Argentina eventually has happened though to Brazil did not.
 
Badala ya 4 hatimae zikawa 6.
What I wished to happen to Argentina eventually has happened though to Brazil did not.

Sawa mzungu.. it shows umefurahi sana kufungwa kwa Argentina sio!! Hongera sana aise...soon watakuletea kizawadi cha mdoli wa kima/nyani.
 
Wewe sio hater?
Ina maana kila kitu dunia hii wewe unakipenda mkuu?

Jamaa yupo sahihi mbona! It shows Unawachukia sana argentina mzee sijui walikufanya nini...naona umefurahishwa na matokeo ya juzi? πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€


Sasa sikiliza kijana! Kufungwa goli 6 sio mwisho wa kupambana ninachotaka kukuambia mkuu ni kwamba tungojee kombe lipo karibu sana kuanza...Argentina watacheza FINAL wewe tunza maneno yangu. So mechi ya juzi Argentina walikuwa hawana nyota wao MESSI, DI MARIA, AGUERO, DYBALA, LCARDI, LANZINI, MERCADO, RONCAGLIA, ANGEL CORREA AND GAITAN N.K. na wote tunajuwa uwezo wa hawa watu dimbani, na ukiangalia wakina INIESTA walikamilika wote walikuwemo usitegemee kikosi tofauti kombe la dunia kwa wale jamaa maana ndo wamemaliza mle, itategemea mabadiliko makubwa kwa Argentina kwenye kikosi zaidi kwenye ushambuliaji kwahiyo naweza kusema Argentina bado wana ubora wa hali ya juu kuliko timu yeyote ile,, so wakutusumbua pale ni Mjerumani tu.







 
Sawa mzungu.. it shows umefurahi sana kufungwa kwa Argentina sio!! Hongera sana aise...soon watakuletea kizawadi cha mdoli wa kima/nyani.
Mkuu mbali na kuwa hater,jambo ambalo ulitamani litokee kisha likatokea utaacha kufurahi?
Pole sana kwa maumivu ya kufungwa.
 
Unajidanganya,perfomance za hao wachezaji hasa Messi wanapokuwa na klabu zao ni tofauti sana na wanapokuwa na timu ya taifa.
Kweli ni wachezaji wazuri lakini kinachowagharimu ni kwamba hawana mchanganyiko mzuri ndio maana mpaka leo Messi hajawahi kunyanyua kikombe chochote akiwa na timu yake ya taifa.
Natunza maneno yako kama nilivyotunza ya Otterhound,na wewe pia yatunze yangu kwamba Argentina hawatafika mbali.
 
Mkuu mbali na kuwa hater,jambo ambalo ulitamani litokee kisha likatokea utaacha kufurahi?
Pole sana kwa maumivu ya kufungwa.

Nipo kawaida kabisa mkuu sababu i know that ile ni friendly match tu na waliochezeshwa most of them ni kutoka ligi yao ya ndani ndio maana sikuwa na presha kihivyo...kwahiyo nachotaka kukuambia "walikuwa wanatest mitambo" kwanza wanatumia bastola zao....muda wa kuyatumia marocket rangers bado...mkuu tulia usiwe na haraka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…