Sol de Mayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,515
- 6,230
Duh wanaongezwa kumbe?
Mimi nimeziona tano au nne
Leo zitapungua mjomba😛😛
Germany 4-1 Brazil
Argentina 4-0 Spain
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh wanaongezwa kumbe?
Mimi nimeziona tano au nne
Ndio hatari ya kwenda vibanda humiza
Ya kwanza sawa ila ya pili natofautiana na wewe mkuu. Argentina natamani wafe nyingi tuu
Tutakutana tena hapa kwa mrejesho mkuu.
Zamu ya brazili kesho. Yani analambishwa 8 za fasta
ukisikia Hater ndio wewe,hater hawanaga sababuOnly Messi makes me hate Argentina,about Brazil I just found my self hate it with no any reason long time ago.
Badala ya 4 hatimae zikawa 6.Unatamani lakini haitakuwa mjomba. Kama unakumbuka last match spain alipokea kipigo cha goli 4,, usishangae na leo wakapigwa..
Badala ya 4 hatimae zikawa 6.
What I wished to happen to Argentina eventually has happened though to Brazil did not.
Wewe sio hater?
Ina maana kila kitu dunia hii wewe unakipenda mkuu?
Mkuu mbali na kuwa hater,jambo ambalo ulitamani litokee kisha likatokea utaacha kufurahi?Sawa mzungu.. it shows umefurahi sana kufungwa kwa Argentina sio!! Hongera sana aise...soon watakuletea kizawadi cha mdoli wa kima/nyani.
Unajidanganya,perfomance za hao wachezaji hasa Messi wanapokuwa na klabu zao ni tofauti sana na wanapokuwa na timu ya taifa.Jamaa yupo sahihi mbona! It shows Unawachukia sana argentina mzee sijui walikufanya nini...naona umefurahishwa na matokeo ya juzi? 😀😀😀
Sasa sikiliza kijana! Kufungwa goli 6 sio mwisho wa kupambana ninachotaka kukuambia mkuu ni kwamba tungojee kombe lipo karibu sana kuanza...Argentina watacheza FINAL wewe tunza maneno yangu. So mechi ya juzi Argentina walikuwa hawana nyota wao MESSI, DI MARIA, AGUERO, DYBALA, LCARDI, LANZINI, MERCADO, RONCAGLIA, ANGEL CORREA AND GAITAN N.K. na wote tunajuwa uwezo wa hawa watu dimbani, na ukiangalia wakina INIESTA walikamilika wote walikuwemo usitegemee kikosi tofauti kombe la dunia kwa wale jamaa maana ndo wamemaliza mle, itategemea mabadiliko makubwa kwa Argentina kwenye kikosi zaidi kwenye ushambuliaji kwahiyo naweza kusema Argentina bado wana ubora wa hali ya juu kuliko timu yeyote ile,, so wakutusumbua pale ni Mjerumani tu.
Mkuu mbali na kuwa hater,jambo ambalo ulitamani litokee kisha likatokea utaacha kufurahi?
Pole sana kwa maumivu ya kufungwa.
Wewe sio hater?
Ina maana kila kitu dunia hii wewe unakipenda mkuu?