Shabiki maarufu wa arsenal Ulaya apost vide za pared la Yanga

Shabiki maarufu wa arsenal Ulaya apost vide za pared la Yanga

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
#MICHEZO Unaambiwa baada ya video za Paredi la Ubingwa wa Yanga kusambaa duniani kote hivi karibuni zimezua gumzo huko nchini uingereza, ambapo hii ni mara baada ya Shabiki Maarufu wa Klabu ya Arsenal (#Welbeast) kuchapisha moja ya video hizo kwenye ukurasa wake wa X (maarufu kama Twitter) akionesha kushangazwa na kuwapongeza mashabiki wa Yanga kwa namna walivyojitokeza kwa wingi kusherehekea Ubingwa huo.

Baada ya Welbeast kuichapisha video hiyo kurasa mbalimbali maarufu za mashabiki wa vilabu vikubwa ulaya kama UnitedFaithfuls ilikuja na kuandika maoni ndani ya chapishohilo huku wakiwaponda wapinzani wao Manchester City kwamba Parade la Yanga ni bora kuliko hata walilofanya Man City huku wengine pia wakiwaponda Arsenal kwamba Yanga imechukua ubingwa kabla ya Arsenal.[emoji23]

Je, Unadhani ni kweli Yanga wamewafunika Man City[emoji1745]?

SWIPE KUONA ZAIDI[emoji117]

#PARADE #YangaSC #ManCity #ArsenalFC #EastAfricaTV #HainaKuchoka
1717037441944.jpg
 
Basi jamani nawaombea msamaha ndugu zetu makolo.

Tuwasamehe tu watakuja kufa kwa wivu hasira shinikizo la damu na huzuni.

We si unaona hata wale makolo kindakindaki ndugu yetu makovu Scars Kalpana bila kumsahau hasibu la mchongo kutoka amazone college OKW BOBAN SUNZU wamepotea kabisa jukwaani na sijui kama ni wazima huko walipo.

Tuwaonee huruma tu.
 
Jamaa wamepotea sana[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom