Shabiki mnazi wa Mamelody aingia ubaridi. Aomba mechi iahirishwe

Shabiki mnazi wa Mamelody aingia ubaridi. Aomba mechi iahirishwe

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
Huyu ni shabiki mnazi wa Masandawana. Ona alicho kiandika hapa
 
Attachments

  • Screenshot_20240405-171912.png
    Screenshot_20240405-171912.png
    215.8 KB · Views: 1
Mwingine huyu hapa:
 
Attachments

  • Screenshot_20240405-172637.png
    Screenshot_20240405-172637.png
    210.9 KB · Views: 2
Mwingine huyu hapa:
Mamelodi alishindwa pata goli ndani ya dakika 15 kipindi cha kwanza na dakika 15 kipindi cha pili basi ndo nitoleee hiyo

Mechi ikiisha 0-0 kipindi cha kwanza basi waanze kufungasha viroba vyao

GGYanga
 
"...but I have faith"- Nungu Themba Maphosa
 
Hao hata ukiangalia kocha wao anavyoongea na body language yake inaonyesha kabisa washaingia uoga mkubwa juu ya hii match,ngoja tuone itakavyokuwa.
Wapigwe kama ngoma
 
Siasa kama hizi ndio zinazoharibu timu zetu yaani Masandawana amwogope yanga ambaye hana record yeyote nzuri ! Huyo masandawana kaishazipasua timu zote kubwa Africa leo awe na hofu na sie. Tuwe siriaz kidogo
 
Angalia ata aliyeleta uzi ni nani manyau nyau na mpira ni wap na wap kazi yake ni kutaperi wagonjwa wa majini
 
Back
Top Bottom