Shabiki mnazi wa Mamelody aingia ubaridi. Aomba mechi iahirishwe

Shabiki mnazi wa Mamelody aingia ubaridi. Aomba mechi iahirishwe

Utopolo South Africa wanaonekana kama mama j yenyewe wanafurahi🤣🤣🤣🤣🐸🐸🐸🐸🐸🐸
 
Nacheki gemu ya utopolo alafu naenda kulala🤣🤣🤣mpaka mtolewe
 
Tutolee upuuzi wako. Kumbe ndio maana watu wanakutukana na kukudharau humu. Watu wapo busy na mpira we unaleta uchoko wako wa Zanzibar. 🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕
Umeuona ujumbe eeh?

Umekuchoma?
 
Leo yanga tunafungwa 5 kwa 1 ...

mimi ni mchambuzi wa soka la kimataifa
Wewe ni mchambaji tu, huna lolote.
Mchambuzi gani anae tabiri badala ya kuichambua mechi yote kwa ujumla wake.
 
Back
Top Bottom