technically JF-Expert Member Joined Jul 3, 2016 Posts 12,706 Reaction score 52,355 Oct 24, 2016 #1 Sabiki wa man u nchini uganda amejiua baada ya man u kufungwa bao 4 kwa bila na Chelsea hapo Jana .
Madihani JF-Expert Member Joined Apr 30, 2015 Posts 6,154 Reaction score 7,083 Oct 24, 2016 #2 Aisee kazi kweli kweli
MO11 JF-Expert Member Joined Mar 23, 2014 Posts 19,057 Reaction score 39,387 Oct 24, 2016 #3 Hiyo picha ninayo miaka miwili iliyopita
KING 360 JF-Expert Member Joined Jun 30, 2016 Posts 3,002 Reaction score 5,192 Oct 24, 2016 #4 Uwo mkanda wa kapeti ni wa kumuuwa mtu kweli jamaa kasimama kwenye sturi kapindisha tu shingo huyo
chipaka.com JF-Expert Member Joined Dec 5, 2015 Posts 2,883 Reaction score 1,189 Oct 24, 2016 #5 MO11 said: Hiyo picha ninayo miaka miwili iliyopita Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ww ni mshabiki wa Man u
MO11 said: Hiyo picha ninayo miaka miwili iliyopita Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ww ni mshabiki wa Man u
MO11 JF-Expert Member Joined Mar 23, 2014 Posts 19,057 Reaction score 39,387 Oct 24, 2016 #6 chipaka.com said: [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ww ni mshabiki wa Man u Click to expand... tuheshimiane tafadhali
chipaka.com said: [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ww ni mshabiki wa Man u Click to expand... tuheshimiane tafadhali
minji JF-Expert Member Joined Sep 2, 2016 Posts 2,751 Reaction score 4,946 Oct 24, 2016 #7 Mbona amesimamaa tuu katoa ulimi nje
M mwalubaduh Senior Member Joined May 31, 2016 Posts 131 Reaction score 61 Oct 24, 2016 #8 Huyo sabiki ni nomaaaa sanaaaaa... Kumbe n Man 4 ngo..
Leloo June JF-Expert Member Joined May 5, 2016 Posts 1,001 Reaction score 933 Oct 24, 2016 #9 Picha ya kitambo hiyo.
muhomakilo jr JF-Expert Member Joined Jul 28, 2013 Posts 15,301 Reaction score 13,858 Oct 24, 2016 #10 Pumbavu...
lil wayne JF-Expert Member Joined Apr 15, 2016 Posts 992 Reaction score 904 Oct 24, 2016 #11 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mentor JF-Expert Member Joined Oct 14, 2008 Posts 20,328 Reaction score 23,909 Oct 24, 2016 #12 Ahahahahaha pamoja na kucheka . . huyu ni mwigizaji/mchekeshaji wa Kenya anaitwa Njugush.
L lokomu JF-Expert Member Joined Apr 25, 2013 Posts 4,916 Reaction score 3,507 Oct 24, 2016 #13 muongo mambo ya fisibuku yabakie huko huko
samsun JF-Expert Member Joined Feb 9, 2014 Posts 7,386 Reaction score 5,965 Oct 25, 2016 #14 Kumbe kufa ni rahisi mno.
B bigonzo JF-Expert Member Joined Feb 23, 2016 Posts 2,914 Reaction score 2,255 Oct 25, 2016 #15 Mwingine huyu amejinyonga
karume kenge JF-Expert Member Joined Mar 9, 2016 Posts 568 Reaction score 421 Oct 25, 2016 #16 Uongo mkubwa kwanza huo mlango unautefu gani wa kuweza mtu kujiuaa