Shabiki wa Man UTD ajiua

Shabiki wa Man UTD ajiua

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
12,706
Reaction score
52,355
f13229950144444ad9d5634fc4a13f2e.jpg


Sabiki wa man u nchini uganda amejiua baada ya man u kufungwa bao 4 kwa bila na Chelsea hapo Jana .
 
Uwo mkanda wa kapeti ni wa kumuuwa mtu kweli jamaa kasimama kwenye sturi kapindisha tu shingo huyo
 
Mbona amesimamaa tuu katoa ulimi nje
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
1477345236302.jpg
 
Ahahahahaha pamoja na kucheka
.
.
huyu ni mwigizaji/mchekeshaji wa Kenya anaitwa Njugush.
 
Back
Top Bottom