Shabiki wa Simba aapa kujiua iwapo Chama akienda Yanga

hyo mioyo ya watu wengi ambayo chama kabeba ndo angewashawishi sasa ili wajiue wote endapo chama atasain yanga. sasa anataka kuwaacha wenzake wakiteseka?

ephen_ yanga sc mnataka kukatisha maisha ya mtu kabla ya muda huku.
 
Shabiki wa Simba ameapa kujiua endapo mchezaji wa timu hiyo Chama atajiunga na Yanga kwa msimu 2024/2025.
Huyu atakuwa na changamoto ya afya ya akili. Yaani mtu ujitoe uhai kwa Chama kwenda Yanga, huo ni wazimu akapimwe akili huyo, na hata mpira wenyewe haujui yeye anamjua chama tu.
 
Vipi huko tayari? Tuje tule ubwabwa wa msibani πŸ˜‹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…