Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
Nimekumbuka mbali kuna ex wangu mmoja hivi nae alimpiga ngumi jamaa mmoja hivi ,yule jamaa akazimia na kulazwa juu..basi nilikuwa natamba ole wako unichokozee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na shabiki afanywajeuyu nyoso afungiwe kucheza mpira maisha
Zipo taratibu za soka shabiki huazibiwa kwa makosa. Asubiri rungu la TFF hua hatupendagi ujingaNa shabiki afanywaje
Ndani kawaida tu nyie ndo wanaume wa dasalama mnaokubali kuchezewa makalio then mnangalia tu kisa unaogopa shari na kuwekwa ndani.Nyoso yupo ndani. Jamaa karudi mtaani. Na inakuwa kesi tayari.unadhan nani anayepoteza sasa?