Shabiki wa Simba alistahili kupokea kichapo kutoka kwa Nyosso

Nimekumbuka mbali kuna ex wangu mmoja hivi nae alimpiga ngumi jamaa mmoja hivi ,yule jamaa akazimia na kulazwa juu..basi nilikuwa natamba ole wako unichokozee
 
Nyoso kweli kakosea ila kidhat kabisa, binafsi yangu hata mimi kipindi naudananda waduwanzi waduwanzi kama kama hawa nilikuwa siwacheleweshi nawatwanga ndonga tu..

Aliyecheza mpira anajua maumivu ya kufungwa mtu unafungwa mazoezini ila unakaribia kupasuka itakuwa huyu wa uwanjani game ambayo imekamiwa..

Simuungi mkono nyoso, ila nyoso nae binadamu, mshabiki yule ilikuwaje atoke huko alikotoka kumfata nyoso na kumpulizia vuvuzela, lawama kwake,
pili lawama kwa askari vip lile vuvuzel lingekuwa kisu je, nyoso angedhurika sijui kama tungekuwa tunaongea haya, kilichomponza nyoso ni mfululizo wa matukio yake huko nyuma laiti angefanya kaseja au mtu mwingine mwenye rekodi nzur huko nyuma isingekuwa ngumu kwake kiasi hiki kama kwke nyoso.

Uwanja ule nimeona unafensi kubwa tu, mipira iliyokuwa inapigwa na kutoka nje ilikuwa inaishia katika fensi, kuingia uwanjan kuna vigeti, fensi imetenganisha uwanja n mashabiki kama viwanja kadhaa vya ujerumani, sasa shabiki kilimuwasha nini kumfata nyoso uwanjani, usikute ana stress ya kupoteza game, labda na hela waliahidiwa na vyuma vilivyokaza kaishapangia na bajeti
 
Confusion ni kuwa sentensi ya kwanza umesema Nyosso hana kosa alikua provoked baada unasema Nyosso alikosea sana kushindwa kujizuia
 
Nyoso yupo ndani. Jamaa karudi mtaani. Na inakuwa kesi tayari.unadhan nani anayepoteza sasa?
Ndani kawaida tu nyie ndo wanaume wa dasalama mnaokubali kuchezewa makalio then mnangalia tu kisa unaogopa shari na kuwekwa ndani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…