Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Bora ukutane na nyati kuliko mtu wa yangaUkikutana na Shabiki wa yanga mtie moyo wanapitia wakati mgumu sana
yupi kichaa kati ya alompiga na alopigwa?TUNAAMBIA KILA SIKU.
KUSHABIKIA SANA SIMBA NA YANGA KUNAIFANYA AKILI IPUNGUE KIDOGO.
UNAANZA KUFIKIRI KAMA CHIZI.
KUFANYA KAMA KICHAA.
Woteyupi kichaa kati ya alompiga na alopigwa?
Mh kichaa aliempiga mwenzie,yupi kichaa kati ya alompiga na alopigwa?
๐๐wana hasira sanaTukio la kusikitisha limetokea baada ya mechi ya Yanga SC vs MC Alger ambapo shabiki wa Simba alipigwa na mtu wa Yanga mbele ya Afisa Habari wa Yanga, Ali Kamwe, wakati wa mahojiano na Crown Media.
Pia, Soma: FT: Yanga 0-0 MC Alger | CAF Champions League | Estadio Benjamin Mkapa | 18.01.2025
View attachment 3206105
Kuna mmoja Huku hajala, toka niingie kutoka safari Jana usiku๐๐Ukikutana na Shabiki wa yanga mtie moyo wanapitia wakati mgumu sana
Ungekua mu ungwana kipindi Cha nyuma kidogo Shabiki wa Yanga alipigwa na kuchaniwa jezi jukwaani na mashabiki wa Simba yule Big wa Simba wa Morogoro akiongoza tukio ilo pale kwa Mkapa.Tukio la kusikitisha limetokea baada ya mechi ya Yanga SC vs MC Alger ambapo shabiki wa Simba alipigwa na mtu wa Yanga mbele ya Afisa Habari wa Yanga, Ali Kamwe, wakati wa mahojiano na Crown Media.
Pia, Soma: FT: Yanga 0-0 MC Alger | CAF Champions League | Estadio Benjamin Mkapa | 18.01.2025
Uongozi wa Yanga unapaswa kutoa tamko kuhusu tukio hili, kwani kimya chao kinaweza kutafsiriwa kama kuunga mkono vitendo hivyo kuendelea.
Aidha, TFF inatakiwa kutoa tamko kuhusu suala hili na kuchukua hatua dhidi ya Yanga pamoja na shabiki huyo ili kukomesha vitendo visivyo vya kimpira
View attachment 3206105
Tuwasaidie Depression is real kaka๐๐๐Kuna mmoja Huku hajala, toka niingie kutoka safari Jana usiku๐๐
Tuwasaidie Depression is real kaka๐๐๐Kuna mmoja Huku hajala, toka niingie kutoka safari Jana usiku๐๐