Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 23,040
- 33,028
Shabiki wa Simba Pacha ameshauri viongozi wake wakamuombe GSM astaafu ili waweze kutwaa ubingwa wa ligi kuu ya NBC.
#ScopeMedia
Je wanasimba wameishiwa mbinu zote za kubeba ubingwa Hadi kutaka kuomba mwamba GSM ajiuzuru?
Hizi ni Sababu/ visingizio za Simba kushindwa beba kombe
1. Mwaka 2020/21......tumebeba mara nyingi
2021/22.......tunajenga timu
2022/ 23......kombe la ndani hatutaki...tukutane CAF
2023/25.....GSM anaharibu ligi😂
2025/26.......marefa wametunyonga