Kurusha mishaleWaende kwenye masumbwi😂😂
Naunga mkono hojaSema nini wanasimba wenzangu, na sisi tufanye umafia anaoufanya Yanga tutafika mbali
Mwakani na sisi tuwasikie Yanga wakisema Mo anaharibu Ligi
MAFIAAHanspope pekee ndo aliweza
SHIDA VIONGOZI WABAHILINaunga mkono hoja
Watupe fuko la pesa tuweke malengoSHIDA VIONGOZI WABAHILI
Nakubali kupoitia kamati za roho mbaya na ubaya ubwela naamini inawezekanaWatupe fuko la pesa tuweke malengo