Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,308
- 32,757
Na itakuwa hivi.Kimbembe pale Lubumbashi ohoooo atapigwa mtuMazembe ashinde na Monastir ashinde,Uto awatoamini maji wataita mayi.
watazitema zote za mama walizokwapua.Na itakuwa hivi.Kimbembe pale Lubumbashi ohoooo atapigwa mtu
Unavuta bangi ya mbegumbegu au ya majani?View attachment 2557301
Mimi kama shabiki wa US MONASTIR tawi la al hilal upande wa Rivers united nasema hvi UTO tunamnyoosha hapo hapo kwa uchezaji wake ule kama wanacheza upatu..
Mimi tangu utotoni, ukiachana na simba,, mimi ni Monastir mtupuView attachment 2557301
Mimi kama shabiki wa US MONASTIR tawi la al hilal upande wa Rivers united nasema hvi UTO tunamnyoosha hapo hapo kwa uchezaji wake ule kama wanacheza upatu..
🤣🤣🤣😂😂😂🤣🤣😂😂😂😂🤣🤣😂😂😂😂😂Mimi tangu utotoni, ukiachana na simba,, mimi ni Monastir mtupu
Mmeanza uchawi mapema hivi duhView attachment 2557301
Mimi kama shabiki wa US MONASTIR tawi la al hilal upande wa Rivers united nasema hvi UTO tunamnyoosha hapo hapo kwa uchezaji wake ule kama wanacheza upatu...
Ila Hawa kenge tukishinda Leo watakomaUtopolo mezeni paracetamol ila msizidishe 4gms,kuepuka magonjwa ya ini siku za usoni
Kusikia Kwa Kenge Mpaka Atoke Damu Puani Na MasikioniIla Hawa kenge tukishinda Leo watakoma
AahaahaaKusikia Kwa Kenge Mpaka Atoke Damu Puani Na Masikioni
Mbaazi Ukikosa Maua Husingizia Jua Kali Sana
Acha Tuone Leo Ni Leo
Guvu MoyaNguvu moya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mazembe ashinde na Monastir ashinde, Uto awatoamini maji wataita mayi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi tangu utotoni, ukiachana na simba,, mimi ni Monastir mtupu