Shabiki wa US Monastir damu

Shabiki wa US Monastir damu

Dormant Account

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2022
Posts
11,308
Reaction score
32,757
IMG_5312.jpg
Mimi kama shabiki wa US MONASTIR tawi la al hilal upande wa Rivers united nasema hvi UTO tunamnyoosha hapo hapo kwa uchezaji wake ule kama wanacheza upatu.

Mashabiki wa UTO njooni na panadol maana kipigo tutakachowapa hamtaamini macho yenu tanzania nzima timu tunayoiogopa ni simba tu

NB: UTO akishinda leo nipigwe Ban la Mwezi mzma

FT
UTO 0
US MONASTIR 2
 
Nlikuwa Sina team..ila naskia hao monastr wanajua boli sanaa...acha na mimi niishi umo umo....nipigieni hao uto
 
Back
Top Bottom