AKILI TATU
JF-Expert Member
- Feb 10, 2016
- 2,659
- 2,827
Kumbe wa timu gani??Uwanja wa samora kumbe wanautumia prison siku hizi? Kwanza huyo sio shabiki wa yanga
Prison ni Uwanja wa Sokoine, huo wa Samora ni wa Lipuli upo Iringa hapa. Muwe mnafuatilia kabla ya kupost pumba zenuKumbe wa timu gani??
Ukiambiwa mkeo anagegedwa gesti nawe unakimbilia gesti.Wanayanga mnakosea wapi aisee hadi mnatiana aiabu hivi...???
ππππPrison ni Uwanja wa Sokoine, huo wa Samora ni wa Lipuli upo Iringa hapa. Muwe mnafuatilia kabla ya kupost pumba zenu