AKILI TATU
JF-Expert Member
- Feb 10, 2016
- 2,659
- 2,827
Wanayanga mnakosea wapi aisee hadi mnatiana aiabu hivi...???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe wa timu gani??Uwanja wa samora kumbe wanautumia prison siku hizi? Kwanza huyo sio shabiki wa yanga
Prison ni Uwanja wa Sokoine, huo wa Samora ni wa Lipuli upo Iringa hapa. Muwe mnafuatilia kabla ya kupost pumba zenuKumbe wa timu gani??
Wanayanga mnakosea wapi aisee hadi mnatiana aiabu hivi...???
👏👏👏👏Prison ni Uwanja wa Sokoine, huo wa Samora ni wa Lipuli upo Iringa hapa. Muwe mnafuatilia kabla ya kupost pumba zenu