Shabiki wa Yanga anaye lialia hovyo

Shabiki wa Yanga anaye lialia hovyo

Ni mbinu zake za kupunguza ukali wa njaa mjini wanasema mjini akili
 
hii ni sawa?, hii ni sawa?......woiyoooo,waiyaaaaaaaa.lol
 
Akili hana jamaa + KIKI

Sent from my iPad Air using JamiiForums
 
kilio kimempa pikipiki toka kwa manji
kilio kimemsafirisha kwenda uturuki
kilio kimefanya aangalie mpira bure bila kutoa kiingilio taifa
kilio kimempa umaarufu pia mpaka kutengewa kipind kwenye television duuh kilio hiki sijui nami nijaribu

jamaa anaishi kwa style sana basi
 
kilio kimempa pikipiki toka kwa manji
kilio kimemsafirisha kwenda uturuki
kilio kimefanya aangalie mpira bure bila kutoa kiingilio taifa
kilio kimempa umaarufu pia mpaka kutengewa kipind kwenye television duuh kilio hiki sijui nami nijaribu

na wewe uko tayari kupelekwa uturuki na manji kwa kulia lia?
 
Chezea kilio wewe Nazjaz!

kilio kimempa pikipiki toka kwa manji
kilio kimemsafirisha kwenda uturuki
kilio kimefanya aangalie mpira bure bila kutoa kiingilio taifa
kilio kimempa umaarufu pia mpaka kutengewa kipind kwenye television duuh kilio hiki sijui nami nijaribu
 
Last edited by a moderator:
hivi huyu jamaa hawajamstukia kama ni muongo..msanii wa kutupwa!!??.. dume kujilizaliza hovyo..tena sometimes kwenye hivyo vipindi vya tv huwa anauliza 'nilie sasa hivi"...
 
hivi huyu jamaa hawajamstukia kama ni muongo..msanii wa kutupwa!!??.. dume kujilizaliza hovyo..tena sometimes kwenye hivyo vipindi vya tv huwa anauliza 'nilie sasa hivi"...

Kulia kumsaidia mambo mengi na zaidi umaarufu
 
Kwani bado yupo yanga huyu jamaa? Juzi juzi nilisoma kwenye gazeti (silikumbuki vizuri) akisema anataka kuhamia azam au simba kwa sababu yanga hawamjali tena. Ila jamaa ni wa kumwacha atumie fursa ya kulia ili ajiongezee kipato lakini nahisi wafadhili na viongozi wa yanga wameshamstukia huyo.
 
Back
Top Bottom