Shabiki wa Yanga (mwalimu Yanga) ataka kuikana ahadi aliyoitoa iwapo Simba ikiingia robo fainali CAFCC

Shabiki wa Yanga (mwalimu Yanga) ataka kuikana ahadi aliyoitoa iwapo Simba ikiingia robo fainali CAFCC

Baada ya hapo huyo mwandishi inabidi ampotezee asimuhoji tena maana anamuaibisha yeye na chombo chake.

Mwanaume wa kweli ukitoa kauli ya kubeti inabidi usimamie kauli yako.
 
kuna siku watakuja kutoa ahadi za kugawa vinyeo halafu watu wapite nao kweli
 
Back
Top Bottom