Lupweko JF-Expert Member Joined Mar 26, 2009 Posts 23,566 Reaction score 24,891 Jan 14, 2025 #1 Alitaka kujizima data, apata kigugumizi. Ni fundisho kwa watoa ahadi wa humu JF akina Pdidy, Labani og, Minjingu Jingu, Chief Godlove, Gunner Shooter Your browser is not able to display this video.
Alitaka kujizima data, apata kigugumizi. Ni fundisho kwa watoa ahadi wa humu JF akina Pdidy, Labani og, Minjingu Jingu, Chief Godlove, Gunner Shooter Your browser is not able to display this video.
SAYVILLE JF-Expert Member Joined Mar 25, 2010 Posts 7,895 Reaction score 12,975 Jan 14, 2025 #2 Baada ya hapo huyo mwandishi inabidi ampotezee asimuhoji tena maana anamuaibisha yeye na chombo chake. Mwanaume wa kweli ukitoa kauli ya kubeti inabidi usimamie kauli yako.
Baada ya hapo huyo mwandishi inabidi ampotezee asimuhoji tena maana anamuaibisha yeye na chombo chake. Mwanaume wa kweli ukitoa kauli ya kubeti inabidi usimamie kauli yako.
M Mkono Mmoja JF-Expert Member Joined Jan 26, 2019 Posts 3,359 Reaction score 6,568 Jan 14, 2025 #3 kuna siku watakuja kutoa ahadi za kugawa vinyeo halafu watu wapite nao kweli
BRN JF-Expert Member Joined Nov 18, 2013 Posts 5,188 Reaction score 6,633 Jan 15, 2025 #4 Your browser is not able to display this video.
MrKanteChelsea JF-Expert Member Joined May 12, 2019 Posts 203 Reaction score 237 Jan 15, 2025 #5 BRN said: View attachment 3202162 Click to expand... Hizi nguvu angekuwa anatumia kuelimisha jamii inayomzunguka kama taifa tungekuwa mbali kuliko huu ujinga wa simba na yanga
BRN said: View attachment 3202162 Click to expand... Hizi nguvu angekuwa anatumia kuelimisha jamii inayomzunguka kama taifa tungekuwa mbali kuliko huu ujinga wa simba na yanga
Southern Highland JF-Expert Member Joined Mar 22, 2017 Posts 14,938 Reaction score 25,405 Jan 15, 2025 #6 Lupweko said: Alitaka kujizima data, apata kigugumizi. Ni fundisho kwa watoa ahadi wa humu JF akina Pdidy, Labani og, Minjingu Jingu, Chief Godlove, Gunner Shooter View attachment 3201868 Click to expand... Kwanza kwenye hiyo list muongeze kolo mbobezi Dabil anaelekea kuweka ahadi ya kunya boga endapo Yanga atafuzu kwenda robo
Lupweko said: Alitaka kujizima data, apata kigugumizi. Ni fundisho kwa watoa ahadi wa humu JF akina Pdidy, Labani og, Minjingu Jingu, Chief Godlove, Gunner Shooter View attachment 3201868 Click to expand... Kwanza kwenye hiyo list muongeze kolo mbobezi Dabil anaelekea kuweka ahadi ya kunya boga endapo Yanga atafuzu kwenda robo