OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Hii sio habari mpya kabisa. Ni jambo linalofahamika. Ila tu kwa siku ya jana imetokea utapeli. Mtoa rushwa kalizwa.
Wakati mwingine Uto mkiona hali kama ya jana, kwenye dakika ya 80 kamateni mpira kisha kapteni akahoji mbona mnaenda kinyume na bahasha?