OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Ukiangalia anachofanya huyo mwenye shati la draft utaelewa mengi kumhusu huyo mropokaji😂View attachment 2431567
Hii sio habari mpya kabisa. Ni jambo linalofahamika. Ila tu kwa siku ya jana imetokea utapeli. Mtoa rushwa kalizwa.
Hao ni wana Makolo a k a Ng'ada fc. Ndiyo wanaoteseka na mechi za wananchiii.View attachment 2431567
Hii sio habari mpya kabisa. Ni jambo linalofahamika. Ila tu kwa siku ya jana imetokea utapeli. Mtoa rushwa kalizwa.
Wakati mwingine Uto mkiona hali kama ya jana, kwenye dakika ya 80 kamateni mpira kisha kapteni akahoji mbona mnaenda kinyume na bahasha?
Nguruwe a.k.a MI mbwa ya kubwekakweka limewashukaHao ni wana Makolo a k a Ng'ada fc. Ndiyo wanaoteseka na mechi za wananchiii.
Huo ndio uwezo wa akili yako?View attachment 2431567