GE2025 Shabiri aahidi kupeleka tofali elfu moja kila eneo lililotengwa kwa ajili ya Shule kwa ajili ya kuanza ujenzi

GE2025 Shabiri aahidi kupeleka tofali elfu moja kila eneo lililotengwa kwa ajili ya Shule kwa ajili ya kuanza ujenzi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
977
Reaction score
1,966

Mgombea Udiwani kata ya Bunju Dar es Salaam kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Shabiri Akbal amezindua Kampeni za kuomba kura leo Septemba 19, 2025 katika viwanja vya Dovya.​


Shabir amewaahidi wakazi wa Bunju maendeleo ikiwemo kuwapa mikopo Wananchi, kujenga Hospitali na Zahanati, kujenga Barabara zote kwa kiwango cha lami, kujenga soko na kituo cha polisi pamoja na kuboresha elimu.

 
Huyu jamaa inabidi ajitahidi barabara ya mabwe pande mpiji majohe iwekwe lami ni muda mrefu watu wanamkumbuka magufuli.

Njia ya Baobab pia na uwanja wa sba zinahitaji lami
 
Back
Top Bottom