SHACKIE: Twiga mnene kuliko wote duniani lakini nini asili na maana ya jina hili

jjeremiah

Member
Joined
Jul 30, 2010
Posts
43
Reaction score
13
Nilipatwa na furaha nilipo sikia kwamba twiga mwenye sifa ya kipekee ana patikana hapa Tanzania na kwamba ana uzito wa zaidi ya tani mbili wakati yule wa kawaida ana tani moja na kilo mia mbili tu, ana urefu wa futi 22 wakati yule aliye wahi kushika rekodi ya dunia akiwa na futi 17, lakini licha ya uzito wake huo bado ana uwezo wa kukimbia kwa wastani kilomita 80 kwa saa wakati yule wa kawaida ni kilomita 50 tu kwa saa. Sasa kiu yangu ni kwamba kama twiga huyu yuko hapa Tanzania je jina hili la Shackie lina maana na asili gani maana silipati kwenye mazingira
yetu.

 
.......and they are poking fun at Kikwete. LOL

 
Gajin
hayo maelezo iiliyoquote yana ujumbe mzito sana . yaani with beauty models u can simplifyy and soften complex deal with tanzania.

The whole thing is a joke. There is no such elephant in Tanzania to begin with. But what's interesting is seeing how they made fun of Kikwete (and emmmmh all of us?!).

Like in Tanzania you just have to be beautiful and a half brain to get your self a deal about anything.
 
Utadhani kweli...hii ilitakiwa ipelekwe kwenye jukwaa la utani.
 
Uyo ni twiga wa kawaida sema anapiga sana chuma alafu hali majani anakula sana ngiri na nguruwe pori
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…