SHACKIE: Twiga mnene kuliko wote duniani lakini nini asili na maana ya jina hili

Nilipatwa na furaha nilipo sikia kwamba twiga mwenye sifa ya kipekee ana patikana hapa Tanzania na kwamba ana uzito wa zaidi ya tani mbili wakati yule wa kawaida ana tani moja na kilo mia mbili tu, ana urefu wa futi 22 wakati yule aliye wahi kushika rekodi ya dunia akiwa na futi 17, lakini licha ya uzito wake huo bado ana uwezo wa kukimbia kwa wastani kilomita 80 kwa saa wakati yule wa kawaida ni kilomita 50 tu kwa saa. Sasa kiu yangu ni kwamba kama twiga huyu yuko hapa Tanzania je jina hili la Shackie lina maana na asili gani maana silipati kwenye mazingira
yetu.

fattest_giraffe.jpg
Au alidungwa sindano ya kukuza makalio ya kichina[emoji23] [emoji23]
 
Nilipatwa na furaha nilipo sikia kwamba twiga mwenye sifa ya kipekee ana patikana hapa Tanzania na kwamba ana uzito wa zaidi ya tani mbili wakati yule wa kawaida ana tani moja na kilo mia mbili tu, ana urefu wa futi 22 wakati yule aliye wahi kushika rekodi ya dunia akiwa na futi 17, lakini licha ya uzito wake huo bado ana uwezo wa kukimbia kwa wastani kilomita 80 kwa saa wakati yule wa kawaida ni kilomita 50 tu kwa saa. Sasa kiu yangu ni kwamba kama twiga huyu yuko hapa Tanzania je jina hili la Shackie lina maana na asili gani maana silipati kwenye mazingira
yetu.

fattest_giraffe.jpg
Anapatikana kolomije huyu
 
huyo twiga anapitaga sana mitaa ya uku kimbangulile, akiwa anapita yaani lazima utatoa macho jinsi anavyolinga na jicho lake la husda
 
Inawezekana kabisa kuna wadosi walitengewa dau kubwa

Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
Ila awamu hii wanyama wanapeta huyu hayupo interested nao
 
Ni kweli kabisa awamu hii twiga watakuja mpaka town hahahaha

Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
 
nime mtafuta mbuga zote sijafanikiwa kumpata huyo twiga labda kwa hali hii ya baba janet atakuwa ame konda kajichanganya na wenzake......
 
Back
Top Bottom