figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Tunaposema Samia ana roho zaidi ta Mchawi, tunaomba mteelewe. Hata vita ya Kagera watu hawakufa wengi kama kuteetea Uongozi wa Samia mwaka 2025📌🔨Walimteka Shebby kisa kachoma picha ya Rais. Kwanza picha yenyewe aliichora yeye. Pia alichora baada ya rais kusema atatekeleza mambo Four R. Lakini baadaye akagundua Samia hatekelezi 4R kama alivyo ahidi.
Shedrack akaamua kuchoma hadharani picha ya samia aliyoichora.
CCM wakamshitaki akafungwa. Kibatala akamtetea na Chadema wakapitisha mchango akatoka Gerezani. Alivyotoka Gerezani watu wakamteke. Hadi leo hajapatikana tena.
Hapa ni Mbeya Shadrack Chaula alitekwa na wauaji na kupotezwa hadi leo hatujui alipo.
Shadrack Baada ya kutoka Gerezani alifurahia Uhuru wake ila watu wenye roha za kishetani wakampoteza, unawezaje kumpoteza MTU kama Shadrack?
Tunaposema Samia ana roho zaidi ta Mchawi, tunaomba mteelewe. Hata vita ya Kagera watu hawakufa wengi kama kuteetea Uongozi wa Samia mwaka 2025
View attachment 3560595
Hujawekewa m100 kwenye akaunti yako labda,,Yaani hao waliomteka bado nafikiria kama akili zao zipo sawa.
Mtu kama chaula ana u-threat gani kwa Taifa?
Naona hata huruma kuisikiliza! Samia jkesho kweli unaenda msikitini na kula Idd!Walimteka Shebby kisa kachoma picha ya Rais. Kwanza picha yenyewe aliichora yeye. Pia alichora baada ya rais kusema atatekeleza mambo Four R. Lakini baadaye akagundua Samia hatekelezi 4R kama alivyo ahidi.
Shedrack akaamua kuchoma hadharani picha ya samia aliyoichora.
CCM wakamshitaki akafungwa. Kibatala akamtetea na Chadema wakapitisha mchango akatoka Gerezani. Alivyotoka Gerezani watu wakamteke. Hadi leo hajapatikana tena.
Hapa ni Mbeya Shadrack Chaula alitekwa na wauaji na kupotezwa hadi leo hatujui alipo.
Shadrack Baada ya kutoka Gerezani alifurahia Uhuru wake ila watu wenye roha za kishetani wakampoteza, unawezaje kumpoteza MTU kama Shadrack?
Tunaposema Samia ana roho zaidi ta Mchawi, tunaomba mteelewe. Hata vita ya Kagera watu hawakufa wengi kama kuteetea Uongozi wa Samia mwaka 2025
View attachment 3560595
Walimteka Shebby kisa kachoma picha ya Rais. Kwanza picha yenyewe aliichora yeye. Pia alichora baada ya rais kusema atatekeleza mambo Four R. Lakini baadaye akagundua Samia hatekelezi 4R kama alivyo ahidi.
Shedrack akaamua kuchoma hadharani picha ya samia aliyoichora.
CCM wakamshitaki akafungwa. Kibatala akamtetea na Chadema wakapitisha mchango akatoka Gerezani. Alivyotoka Gerezani watu wakamteke. Hadi leo hajapatikana tena.
Hapa ni Mbeya Shadrack Chaula alitekwa na wauaji na kupotezwa hadi leo hatujui alipo.
Shadrack Baada ya kutoka Gerezani alifurahia Uhuru wake ila watu wenye roha za kishetani wakampoteza, unawezaje kumpoteza MTU kama Shadrack?
Tunaposema Samia ana roho zaidi ta Mchawi, tunaomba mteelewe. Hata vita ya Kagera watu hawakufa wengi kama kuteetea Uongozi wa Samia mwaka 2025
View attachment 3560595
Kwa namna na mwendo ule wa kuteka na kuuwa kila siku wasingeweza kumuacha waonekane wameshindwa .Hapo veggies waliishiwa, sasa mtu kama Chaula alikuwa na impact gani kwa taifa?
Kuongozwa na akili za kuunga na glue tabu tupu..!!
Wajinga tu!Kwa namna na mwendo ule wa kuteka na kuuwa kila siku wasingeweza kumuacha waonekane wameshindwa .
Kumtoa ndani kuliwasafishia njia polisi wadeal naye vizuri kwa kivuli cha kutohusika moja kwa moja.
Sasa M100 ndio inaweza kukushawishi kuua mtu? Mboni ni hela ndogo sana hio?Hujawekewa m100 kwenye akaunti yako labda,,
Kwa mtekwaji na gen z waliobakia,wahenga Wana msemo 'mdomo uliponza kichwa'Walimteka Shebby kisa kachoma picha ya Rais. Kwanza picha yenyewe aliichora yeye. Pia alichora baada ya rais kusema atatekeleza mambo Four R. Lakini baadaye akagundua Samia hatekelezi 4R kama alivyo ahidi.
Shedrack akaamua kuchoma hadharani picha ya samia aliyoichora.
CCM wakamshitaki akafungwa. Kibatala akamtetea na Chadema wakapitisha mchango akatoka Gerezani. Alivyotoka Gerezani watu wakamteke. Hadi leo hajapatikana tena.
Hapa ni Mbeya Shadrack Chaula alitekwa na wauaji na kupotezwa hadi leo hatujui alipo.
Shadrack Baada ya kutoka Gerezani alifurahia Uhuru wake ila watu wenye roha za kishetani wakampoteza, unawezaje kumpoteza MTU kama Shadrack?
Tunaposema Samia ana roho zaidi ta Mchawi, tunaomba mteelewe. Hata vita ya Kagera watu hawakufa wengi kama kuteetea Uongozi wa Samia mwaka 2025
View attachment 3560595
Kichwa kipi?Kwa mtekwaji na gen z waliobakia,wahenga Wana msemo 'mdomo uliponza kichwa'
Atatumaliza safari hii WallahKazi ya Juma Homera hiyo
Inasikitisha sanaYaani hao waliomteka bado nafikiria kama akili zao zipo sawa.
Mtu kama chaula ana u-threat gani kwa Taifa?
Kuna watu walikuwa wanatetea vibarua vyao ukute.Yaani hao waliomteka bado nafikiria kama akili zao zipo sawa.