Yaani bunduki lote hilo kumlinda huyo dogo?
HAYA NI MAAJABU.
Yaani bunduki lote hilo kumlinda huyo dogo?
Ndiyo madhara ya kuongozwa na zero brain hayo, anateka hata ndezi! Huyo dogo ana nini cha kuwa gaidi?Yaani hao waliomteka bado nafikiria kama akili zao zipo sawa.
Mtu kama chaula ana u-threat gani kwa Taifa?
Hata uniwekee Biii kwenye account siwezi kuua mtu.Hujawekewa m100 kwenye akaunti yako labda,,
Sijui watekaji waliwaza nini ,yaani chaula mwenyewe maisha magumu anajitafuta ,hata siasa zenyewe hazijui ,yeye alitaka trending tu ,alifanya just for fun wala alikuwa ana nia OVU yeyote men rear.Unamuua chaula mtu mwenyewe hana mbele wala nyuma.
Nyerere alisema ukianza kula nyama ya mtu hauwezj kuacha