Shadrack Chaula alitekwa na wauaji na kupotezwa hadi leo hatujui alipo

Unamuua chaula mtu mwenyewe hana mbele wala nyuma.
Nyerere alisema ukianza kula nyama ya mtu hauwezj kuacha
 
Unamuua chaula mtu mwenyewe hana mbele wala nyuma.
Nyerere alisema ukianza kula nyama ya mtu hauwezj kuacha
Sijui watekaji waliwaza nini ,yaani chaula mwenyewe maisha magumu anajitafuta ,hata siasa zenyewe hazijui ,yeye alitaka trending tu ,alifanya just for fun wala alikuwa ana nia OVU yeyote men rear.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…