Shaffi Dauda: Mkuki kwa Nguruwe kwa Binadamu mchungu

Shaffi kamaliza Kila kitu, uwezi kuwa na akili timamu eti unaandamana kumkataa refa wakati huo huo marefa hao hao wamekufaidisha kwa kukupa point za mbeleko na aukuandamana kuwakataa Wala kuwakemea Bali zilikuwa zinatembea kauli za " nendeni polisi mkashtaki Kama mmeumia"!!!
Sasa mmedondosha point muhimu ndio mnamgeukia refa aliyetimiza majukumu yake vizuri? Kibu aliotea kabla ajaingilia mchezo na kufaidika na mpira aliotoa pasi lakini yote ayo mashabiki wa mangungu fc wanamlaumu refa? Refa ndiye aliyefanya wapelekewe moto na Azam Kila mechi wanayokutana?
Ukiwa na kikosi Cha unga unga mwana utakuwa unashinda zile mechi za mipango mipango tu Kama za Tabora united na sio kuzishinda timu zinazojielewa matokeo yake ndio Aya mashabiki wao wanajua wamempiga Tabora kwa ubora wa kikosi Chao kumbe tiyali sabuni ya roho ilishapenyezwa kurahisisha mambo ushindi mnono upatikane!!
Hivi msimu huu Simba wamepewa penati ngapi? Sina uhakika lakini jafikiri ukijumlisha penati za timu zote zilizobaki hazifikii za Simba. Kuna mtu anaweza kutupa takwimu za penati kwa timu zote?
 
Nyie mlioandamana pale kirumba kumzonga Kayoko kwa madai ya kutoamua vyema mchezo hivi mnaelewa hata maana ya Offside kweli nyie wapiga kelele wa kwa Mparange hamkuona kibu alivyokuwa Offside kisha akaingilia mchezo.

OOk sawa nyie ni wapenda haki lakini ilitakiwa kuandamana hata ile siku ya mechi ya kombe la Mapinduzi kati ya Simba dhidi ya Singida BS si mlipewa ushindi usiokuwa halali, Pia mechi ligi Kuu kati ya Singida Vs Simba si mlikuwa mmepigwa ila SBS wakadhurumiwa goli halali nyie goli lenu la Offside likakubaliwa kuweni wapole basi

Hatujasahau Mechi ya Simba Vs Geita Gold Kapombe alipojiangusha mlipofungwa goli la kusawazisha likakataliwa, Hivi mnakumbuka mechi ya Derby Simba Vs Yanga Kapombe alitoa mpira ikasemekana katoa Lomalisa kona ambayo ilizaa goli lakwanza na kuwatoa mchezoni Yanga mbona wao hawakuandamana, Mechi ya November[emoji1588] Kapombe alimdaka Mudathiri ilipaswa kuwa penart ila ikamezwa hamkuiona?

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
Mwanaune hata hapendezei unafiki
 
Hili bumunda la kihaya linachuki na Simba tu
 
Back
Top Bottom