So we were beaten by a better team, what's the surprise then?Kipigo cha mbwa mwitu alichopewa Simba na AS Vita Club kilitabiriwa na mtaalamu wa uchambuzi wa soka ndugu Shaffi Dauda mara tu baada ya makundi kupangwa.
Shaffi aliweka bayana kabisa kwamba hawapi nafasi Simba ktk kundi hilo maana inapamban na timu bora zenye historia kubwa na uwekezaji wa kutosha
Dah umenitisha nikajua kala tano na yeye.Nauliza kumbe hata kundi la Tp mazembe underdog ni tp mazembe maana jana kala tatu bila
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtakimbia humu maana al ahaly wanataka kuvunja record ya vita
Tuko pamoja nimeacha rasmi kufuatilia soka la kibongo.Wafungwe tu
Japo sishabikii timu zozote za kitanzania
Nauliza kumbe hata kundi la Tp mazembe underdog ni tp mazembe maana jana kala tatu bila
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuko pamoja nimeacha rasmi kufuatilia soka la kibongo.
Dah umenitisha nikajua kala tano na yeye.