Shaffi Dauda ni noma alisema mapema kabisa kuwa Simba ndiye underdog kwenye kundi lake

Shaffi Dauda ni noma alisema mapema kabisa kuwa Simba ndiye underdog kwenye kundi lake

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
Kipigo cha mbwa mwitu alichopewa Simba na AS Vita Club kilitabiriwa na mtaalamu wa uchambuzi wa soka ndugu Shaffi Dauda mara tu baada ya makundi kupangwa.

Shaffi aliweka bayana kabisa kwamba hawapi nafasi Simba ktk kundi hilo maana inapamban na timu bora zenye historia kubwa na uwekezaji wa kutosha
 
Attachments

Hakuna cha utabiri,huo ndio ukweli tatizo watanzania hamfatilii mashindano ya klabu ndani ya afrika,ukiwa mfatiliaji utagundua ni jambo la uhalisia kuliko tunavyojipaga moyo kwa mambo makubwa.
 
Kipigo cha mbwa mwitu alichopewa Simba na AS Vita Club kilitabiriwa na mtaalamu wa uchambuzi wa soka ndugu Shaffi Dauda mara tu baada ya makundi kupangwa.

Shaffi aliweka bayana kabisa kwamba hawapi nafasi Simba ktk kundi hilo maana inapamban na timu bora zenye historia kubwa na uwekezaji wa kutosha
So we were beaten by a better team, what's the surprise then?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nakumbuka mwaka huo Vyura walibugizwa na ASEC goli 6-0

1548012845974.png
 
Ukiangalia mpaka sasa, kwa makundi yote4, ni timu moja ti tena group C. Constantine ndiyo iliyofanikiwa kushinda mechi zote mbili, kaini pia , ni timu mbili tu ndio zimetoka sare na kushinda mechi moja. kwahiyo utaona, ni jinsi gani kila timu ilivyojiandaa katika mashindano haya.
Hakuna timu inayojihakikishia kuwa itafuzu mashindano haya kwakuwa trend inaonesha timu zote zimejiandaa. Rejea (occer24.com/africa/caf-champions-league/)
 
Back
Top Bottom