Shaffi Dauda punguza uropokaji

Shaffi Dauda punguza uropokaji

Kama hawana focus na hiyo michuano ilikuwaje kwa Enyimba?
Enyimba ametoka kufungwa na Horoya mwezi March mwaka huu kwenye quarter- final ,Anatokea mjinga mmoja anasema hawa hawana z focus na hii michuano.
 
mi mshabiki wa simba ila katika watangazaji wanaojitahidi kubalansi dauda namba moja yeye na maestro,kwanza wote wanazi wa simba,shafih dauda ashachezea simba,maestro alikuwa afc arusha kama beki akaja kuwa kiongozi simba hadi mkurugenzi wa ufundi lakini hat siku moja hawjafikia u nazi wa maulid kitenge na watangazji wengi wanaoipeda utopolo
Dauda hajawahi kuchezea simba ni karopokaji fulani kqnachotafuta kick kupitia simba.
Wanaigeria wana timu mbili kama hawana focus wangekuwa na timu moja
 
Sikiliza hiyo interview mpaka mwisho mkuu. amechambua vizuri. ila ile timu ni hatari sana. Simba iliwaotea tu
 
Dauda hajawahi kuchezea simba ni karopokaji fulani kqnachotafuta kick kupitia simba.
Wanaigeria wana timu mbili kama hawana focus wangekuwa na timu moja
Alicheza ile Simba mbovu ya kina prosper omella 2001 kipindi anasoma ifm alikuwa na kipaji sanna tena kembamba walikuwa wanamuita giggs
 
we jamaa acha unafiki...huwezi kumuhukumu mtu kwa sentensi moja.Mimi nilisikiliza kipindi na ALICHOMAANISHA sio hicho unachokisema.

acha ROHO MBAYA na WIVU mkuu
Roho mbaya ya nini mkuu
 
Washabiki wa Yanga na Simba bana, kila mmoja hataki timu yake isemwe vibaya.
 
Back
Top Bottom