Shaffi Dauda umeshazeeka, punguza kufitinisha watu mzee

Shaffi Dauda umeshazeeka, punguza kufitinisha watu mzee

Haji ni mtu wa mipasho kichwani ni mwepesi, Viongozi wa Simba na Haji wanaendana. Simba inaendeshwa kiswahili ndiomaana Haji yupo pale kwakua Simba wana amini mipasho ya Haji inawabeba. Klabu ingekua inaendeshwa kwa Weredi wakina Kaduguda, Haji n.k wasingekuwepo pale.
Kama Simba inaendeshwa kiswahili na walau kuna hatua tumeona wote ipezipiga, basi mimi naomba uswahili huu uendelee maana umeleta mabadiliko chanya. Inawezekana ingeendeshwa kiingereza tungebaki kama Yanga utopoloni, unapata nafasi halafu unatolewa raundi ya awali au ya kwanza au kila mwaka Afrika, hela unazikosa
 
Haji ni mtu wa mipasho kichwani ni mwepesi, Viongozi wa Simba na Haji wanaendana. Simba inaendeshwa kiswahili ndiomaana Haji yupo pale kwakua Simba wana amini mipasho ya Haji inawabeba. Klabu ingekua inaendeshwa kwa Weredi wakina Kaduguda, Haji n.k wasingekuwepo pale.
Simba timu yenye upinzan mkuwa baran Afrika. Haiendeshwi kiswahili. Timu znazoendeshwa kiswahili HAZNA MAFANIKIO. Tumia akili kdgo tu. Hata 0.01% Kuilinganisha simba na timu za kiswahili
 
Shaffih kaandika point tupu, nje ya simba manara ni mweupe hata kusafiri kwenda kenya kwa gharama zake hawezi,

Cha pili haji anajiona na kujiaminisha kua mafanikio ya simba kwa kipindi hiki yapo mgongoni Mwake, yani yeye anajiona ni zaidi ya Mo
 
Binafsi simpendi Manara lakini siwapendi zaidi wanaomchukia Manara..

Sielewi Kwa nini baadhi ya watu Wana chuki na Manara..

Sielewi kabisa
Unaweza usimpende mtu na pia usimchukie
Manara anajitengenezea chuki mwenyewe kwa kauli zake za kishenzi,. Rejea kauli alizomtolea maulidi kitenge
 
Haji Manara waluwalu halafu anapayuka sana.

Mfano kipindi kile Simba anaenda Sudan kucheza mechi,nyuma kulikuwa na tetesi kwamba Benard analalamika kwa nini hapangwi kwenye mechi za kimataifa,Kitenge akapost hizi tetesi.Haji alimshambulia Kitenge eti ana haribu brand ya Simba.

Kwa mtu unayefuatilia mpira tetesi kawaida,mfano kulikuwa na Tetesi Morinho hapatani na wachezaji wa Man utd mmoja alikuwa Pogba,Vyombo vingi waliandika hizi tetesi na wachambuzi wakakizungumzia hili.Morinho tena alikorofishana na Ronaldo kipindi yupo Madrid still vyombo vingi viliandika hizi habari na wachambuzi wakalizungumzia.Bado tena Ferguson na Bekham ,Unai na Ozil nk.

Yeye mwenyewe anadai Simba ni brand kubwa haiwezi kuchafuliwa,sasa ikiwa huko club za dunia ya kwanza Madrid,United,Barca nk watu wanaandika tetesi zao na misuguano yao,sembuse hiyo club ya Simba kutoka dunia ya tatu.

Hiyo haitoshi kipindi fulani alikuwa akihojiwa kama sikosei Wasafi,Manara akawa anamponda Uchebe,eti ana matumizi makubwa na hata hizo mechi nyingine timu imepata matokeo sababu ya kamati zao wao huko na si Uchebe.Hapa napo nikamwona mpuuzi tu.

Manara yeye mwenyewe anaamini anajua kila kitu.
1.Yeye ndiye anaamini afisa wa habari bora kuliko wote.
2.Yeye ni mchambuaji bora wa mpira kuliko wote.
3.Yeye ni refa bora kuliko wote alibeba mpaka TV kuwaonyesha waandishi wa habari.
4.Yeye ni kocha bora kuliko yoyote nk.

Tokea siku hizo nikajua Manara hajui mpira,mganga njaa so yeye mwenyewe anaamini kula yake ipo kwenye kubwatuka na kupayuka,halafu mwenyewe anajiita ana uweledi mkubwa.

Hili tukio la juzi watarukaruka ila kosa hili ni la kikanuni na TFF kakosea na wachambuzi wamelizungumzia sioni kosa lao,ila ndio vile tena sisi Watz tunaamini mkubwa (TFF)hakosei,hapo ndio ile funika kombe baba Jen bai bai,hamna atakaye chukuliwa hatua.
 
View attachment 1783939

Soma haya madudu aliyoandika hapa chini. Nilishawahi kuandika humu kuwa Shaffi Dauda hafai hata kuchambua rede,wengi walinielewa sana. Narudi kwake tena kumshauri alinde heshima kidogo aliyobaki nayo. Hii stori ya kuitwa Mchambuzi takataka ni mambo ya kujitakia. Unafitinisha watu na taasisi mpaka inakera. Mambo ya fitina waachie wanawake

Alichoandika..............Binafsi sio muumini sana wa Seasons wala movies za part One mpaka Three, by nature nina uvivu wa kusoma sana au kukaa kwenye mada moja kwa muda mrefu, kutokana na changamoto ya muda

By the way niliwapa aina mbili za Haji Manara, nikawaelezea na wenye kuelewa basi wameelewa, Haji ukishamtoa kwenye kivuli cha Simba na kumuanika yeye peke yake ni muoga na Mjanja Mjanja

Unaweza kudanganya watu ila watu huwezi kuwadanganya kwa wakati wote, moja kati ya vitu anavyoamini ni kuwa Simba ipo ilipo kwa nguvu yake, well and good kwakuwa ni Muajiriwa its fair kuamini hivyo

Ila Simba kufanikiwa kisa maneno yake ni kujidanganya, Simba ilikuwa na mafanikio kabla hata yeye kufika Simba, 1970 huko Simba anacheza Nusu Afrika, 1990 huko Simba anacheza fainali shirikisho, Haji alikuwepo? Ni hoja mfu

Kuendelea kuamini brand ya Simba inalindwa kwa kelele zake huo ni utoto, Simba ina miaka mingi imejitengenezea brand yake na Mashabiki pamoja na wao Viongozi collectively wanaipeleka, kila Mtu akifanya kwa nafasi yake

Brand hailindwi kwa dhihaka wala maneno, brand inalindwa kwa Matokeo uwanjani, vikombe na mipango kazi, mambo yakienda vizuri kila Kiongozi atakachosema basi kinakuwa Lulu, kwa mafanikio ya Simba hata Mwandishi fresh from school akikaa pale ataongea na ataeleweka

Kinachomsumbua Haji ni lifestyle aliyochagua, kama ulipata kazi kwa kelele zako utalazimika kuishikilia nafasi kwa kelele, kama ulipata nafasi kwa Merit basi utaishikilia nafasi yako kwa Merit, hiyo ndio kanuni ya maisha, Haji ni muhanga wa lifestyle yake

Ila kwa kadri Simba inavyopiga hatua itaendelea kubadilika, kuna Uswahili umeachwa na haupo tena Simba, kuliwahi kuwa na makomandoo sasa hawapo tena, kulikuwahi kuwa na wapiga dili na sasa hawapo tena, itafika muda hawatohitaji kelele za Manara, believe me muda utafika

Tunaposema anakosea anakimbilia huruma ya Mashabiki ila endeleeni kumkubusha msiache, Simba atakapofikia level za Al Ahly, Sundowns basi ni eidha yeye abadilike au system imbadili, nadhani ni kanuni ya Maisha

Haji is a prisoner of his own history, nafikiri niifunge hii issue tunamfundisha wala hatuna chuki nae
Mtoa mada unatatizo wewe, sasa mbona Dauda kaandika fact? Unatatizo la kumuona Manara hakosei
 
Binafsi simpendi Manara lakini siwapendi zaidi wanaomchukia Manara..

Sielewi Kwa nini baadhi ya watu Wana chuki na Manara..

Sielewi kabisa
Unaweza usimpende mtu na pia usimchukie
Hakuna anaemchukia manara ila ukizingua unazinguliwa tu, watu wanajibu hoja kwa hoja manara anachojua yeye ni kuropoka na kubeba matv hadi kwa waandishi wa habari
 
Ni sahihi kabisa alichoandika Dauda.

Ila pia kwa sasa aina ya waandishi na wachambuzi wa soka tulionao, Haji Manara anatosha kabisa katika nafasi yake.

Muda huo anaosema Shafii,hautakuwa kwa Simba tu, hata wao wenyewe. Bila shaka yeyote ile maisha yataenda.
 
Haji ni mtu wa mipasho kichwani ni mwepesi, Viongozi wa Simba na Haji wanaendana. Simba inaendeshwa kiswahili ndiomaana Haji yupo pale kwakua Simba wana amini mipasho ya Haji inawabeba. Klabu ingekua inaendeshwa kwa Weredi wakina Kaduguda, Haji n.k wasingekuwepo pale.
Vipi kuhusu Yanga inayoendeshwa na viongozi weledi, wasiokuwa na ubabaishaji? Unapoongea jaribu kutoa reference.
 
Mimi ni Shabiki na mwanachama mwaminifu wa Simba SC lakini katika hili Shaffih kaandika points tupu, sijaona tatizo.
Siku hizi mnaona aibu kusema waziwazi kuwa nyinyi ni mashabiki wa Yanga.Yaani Ili muikosoe Simba Sc, inawalazimu kujifanya mashabiki wa Simba.

Utasikia "Mimi ni shabiki wa Simba Sc ila [emoji23]"
 
Haji anafanya sehemu yake..na huyu Shafii nae anapata ridhki kwa habari kama hizi..tuwavumilie.!
 
Haji Manara waluwalu halafu anapayuka sana.

Mfano kipindi kile Simba anaenda Sudan kucheza mechi,nyuma kulikuwa na tetesi kwamba Benard analalamika kwa nini hapangwi kwenye mechi za kimataifa,Kitenge akapost hizi tetesi.Haji alimshambulia Kitenge eti ana haribu brand ya Simba.

Kwa mtu unayefuatilia mpira tetesi kawaida,mfano kulikuwa na Tetesi Morinho hapatani na wachezaji wa Man utd mmoja alikuwa Pogba,Vyombo vingi waliandika hizi tetesi na wachambuzi wakakizungumzia hili.Morinho tena alikorofishana na Ronaldo kipindi yupo Madrid still vyombo vingi viliandika hizi habari na wachambuzi wakalizungumzia.Bado tena Ferguson na Bekham ,Unai na Ozil nk.

Yeye mwenyewe anadai Simba ni brand kubwa haiwezi kuchafuliwa,sasa ikiwa huko club za dunia ya kwanza Madrid,United,Barca nk watu wanaandika tetesi zao na misuguano yao,sembuse hiyo club ya Simba kutoka dunia ya tatu.

Hiyo haitoshi kipindi fulani alikuwa akihojiwa kama sikosei Wasafi,Manara akawa anamponda Uchebe,eti ana matumizi makubwa na hata hizo mechi nyingine timu imepata matokeo sababu ya kamati zao wao huko na si Uchebe.Hapa napo nikamwona mpuuzi tu.

Manara yeye mwenyewe anaamini anajua kila kitu.
1.Yeye ndiye anaamini afisa wa habari bora kuliko wote.
2.Yeye ni mchambuaji bora wa mpira kuliko wote.
3.Yeye ni refa bora kuliko wote alibeba mpaka TV kuwaonyesha waandishi wa habari.
4.Yeye ni kocha bora kuliko yoyote nk.

Tokea siku hizo nikajua Manara hajui mpira,mganga njaa so yeye mwenyewe anaamini kula yake ipo kwenye kubwatuka na kupayuka,halafu mwenyewe anajiita ana uweledi mkubwa.

Hili tukio la juzi watarukaruka ila kosa hili ni la kikanuni na TFF kakosea na wachambuzi wamelizungumzia sioni kosa lao,ila ndio vile tena sisi Watz tunaamini mkubwa (TFF)hakosei,hapo ndio ile funika kombe baba Jen bai bai,hamna atakaye chukuliwa hatua.
namalizia na nukta mkuu umemaliza yote.
Jamaa hataki simba iongelewe negative zake eti unachafua Brand
 
Back
Top Bottom