Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Hivi kwani ukitaka kuponda Simba sc ni lazima uanze kwa kusema wewe ni shabiki wa Simba kwani ukikosoa tu au ukijitaja tu kuwa wewe ni Yanga au Ihefu huto eleweka? Kwahiyo siku hizi ili ukosoe Simba inabidi kwanza ujiweke upande wao sivyo?Mimi ni Shabiki na mwanachama mwaminifu wa Simba SC lakini katika hili Shaffih kaandika points tupu, sijaona tatizo.
Wakati Simba wanacheza mechi ya mzunguko wa kwanza na Platieu FC Simba ilishinda mchezo huo goli moja bila.Shafii ni mwandishi kanjanja!! Anaishi mjini kwa ujanja ujanja!! Hafai hata kumsikiliza! Ni mzee wa madili!!
Mbona tunamjua na ni mtu asiyejua kuona haya!!Wakati Simba wanacheza mechi ya mzunguko wa kwanza na Platieu FC Simba ilishinda mchezo huo goli moja bila.
Basi huyu Shafii Dauda kwenye Sports extra tena bila aibu kabisa akawa anasema wale wa Nigeria huwa hawana mpango na michuoni ya Africa ila wao wamejikita katika kutengeneza wachaji ili kuuza uliya kwahiyo hawako serious na michuano ya ndani Africa hivyo Simba wamepata mtelemko na akasema kuwa Simba anawasubiri kuja kucheza na mazembe huko ila sio team za Nigeria.
Huyu jamaa siku zote yeye ni mr negative kwa Simba
namalizia na nukta mkuu umemaliza yote.
Jamaa hataki simba iongelewe negative zake eti unachafua Brand