Shaffi kwa nini humkubali Ronaldo?

Ww ni lijinga sana embu mods futenu nyuzi zakipuuzi kama hizi Jamii forum inaanza onekana kama fb sababu yaawa wajinga
 
huyo mwenzie haji manara
 
wewe mbona unakwazika na ronaldo achianeni nafasi ya kuchagua mnavyovitaka kila mtu kwa uono na upeo wake.
 
Ww ni lijinga sana embu mods futenu nyuzi zakipuuzi kama hizi Jamii forum inaanza onekana kama fb sababu yaawa wajinga
Duh! Hasira za mumeo unataka kuzihamishia kwangu dada!Punguza jazba..Uefa inaelekea mwisho!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…