Ww ni lijinga sana embu mods futenu nyuzi zakipuuzi kama hizi Jamii forum inaanza onekana kama fb sababu yaawa wajingaNimeona Insta akimlinganisha na Rooney kwa goli alilolifunga jana!Kwa nini huwa humkubali huyu jamaa wakati mi naona ana takwimu za kutisha?
Unapenda kuleta uswahili na umekuwa ukiongoza sana kwenye kumponda huyu jamaa ukimlinganisha na wachezaji wengine.