Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
Na sasa hiv prisca kapewa kibarua tff yeyeShafii kinachomsumbua ni hasira za kukosa nafasi za uongozi katika vyama na timu za michezo, ghiliba zake Wala zisikuchanganye anajulikana vilivyo
yanga inamuhusu nini yeye fara tu anajifanya kujua akati amna kituHuyu mtu amekuwa akiandama sana Yanga, najua aanatumwa sasa mwambieni aache kiherehere, mambo ya Yanga atuachie wenyewe
View attachment 2001365
Hakuna MTU mjinga na mpumbavu kama shafii dauda .yeye ni MTU WA tasnia ya habari Sasa kama ni hivi anawezaje kubalance taluuma yake Kwa haya makandokando anayoyafanya ..aaache ujinga .mliomuajiri mmpe onyoHuyu mtu amekuwa akiandama sana Yanga, najua aanatumwa sasa mwambieni aache kiherehere, mambo ya Yanga atuachie wenyewe
View attachment 2001365
Uyo Shafii na ule mbichwa wake hana lolote analolijua zaidi ya umbumbumbu tu uliomjaaHuyu mtu amekuwa akiandama sana Yanga, najua aanatumwa sasa mwambieni aache kiherehere, mambo ya Yanga atuachie wenyewe
View attachment 2001365
Kazidi umuch know ndo mana hata akigombea wanamuengua mapema tu wameshalijua kuwa ni lijitu la hovyoShafii kinachomsumbua ni hasira za kukosa nafasi za uongozi katika vyama na timu za michezo, ghiliba zake Wala zisikuchanganye anajulikana vilivyo
Sifa na ulimbukeniKazidi umuch know ndo mana hata akigombea wanamuengua mapema tu wameshalijua kuwa ni lijitu la hovyo
Na mlivyo Majuha na Wanafiki hata hamjui kuwa Shaffih Dauda Kajuna ni Yanga SC lia lia ila huwa haendeshwi Kishabiki na Kinafiki katika Chambuzi zake.Huyu mtu amekuwa akiandama sana Yanga, najua aanatumwa sasa mwambieni aache kiherehere, mambo ya Yanga atuachie wenyewe
View attachment 2001365
Nakuona yanga damuHuyu mtu amekuwa akiandama sana Yanga, najua aanatumwa sasa mwambieni aache kiherehere, mambo ya Yanga atuachie wenyewe
View attachment 2001365
Mimi sijawahi kufikiri kabisanyie mnafikili kwann mondi alilinyima kazi pale wasafi fm?
Wewe kibaka tu huko Yanga anakujua nani?Huyu mtu amekuwa akiandama sana Yanga, najua aanatumwa sasa mwambieni aache kiherehere, mambo ya Yanga atuachie wenyewe
View attachment 2001365
Shafiii ni Simba yule mbona iko wazi! Anaumia kuona msimu huu wana litimu libovu na kule wananchi ndio hawakamatiki!Na mlivyo Majuha na Wanafiki hata hamjui kuwa Shaffih Dauda Kajuna ni Yanga SC lia lia ila huwa haendeshwi Kishabiki na Kinafiki katika Chambuzi zake.
Leo kwakuwa Kawashika pabaya na patamu pia kwa Kupiga kwenyewe penye Ukweli mtupu mnamchukia na Kumshambulia mbona Siku akiisema Simba SC huwa mnampamba na Kumsifia Mitandaoni?
Tulieni hivyo hivyo Dawa iwaingieni.