Shaffih Dauda acha kiherehere

Shaffih Dauda acha kiherehere

Christopher Wallace

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2015
Posts
1,479
Reaction score
3,788
Huyu mtu amekuwa akiandama sana Yanga, najua aanatumwa sasa mwambieni aache kiherehere, mambo ya Yanga atuachie wenyewe

C6EAF7F8-F247-4F5A-BAA8-C0D466FD7C20.jpeg
 
Shafii kinachomsumbua ni hasira za kukosa nafasi za uongozi katika vyama na timu za michezo, ghiliba zake Wala zisikuchanganye anajulikana vilivyo
 
Huyu mtu amekuwa akiandama sana Yanga, najua aanatumwa sasa mwambieni aache kiherehere, mambo ya Yanga atuachie wenyewe

View attachment 2001365
Hakuna MTU mjinga na mpumbavu kama shafii dauda .yeye ni MTU WA tasnia ya habari Sasa kama ni hivi anawezaje kubalance taluuma yake Kwa haya makandokando anayoyafanya ..aaache ujinga .mliomuajiri mmpe onyo
 
Shafii kinachomsumbua ni hasira za kukosa nafasi za uongozi katika vyama na timu za michezo, ghiliba zake Wala zisikuchanganye anajulikana vilivyo
Kazidi umuch know ndo mana hata akigombea wanamuengua mapema tu wameshalijua kuwa ni lijitu la hovyo
 
Huyu mtu amekuwa akiandama sana Yanga, najua aanatumwa sasa mwambieni aache kiherehere, mambo ya Yanga atuachie wenyewe

View attachment 2001365
Na mlivyo Majuha na Wanafiki hata hamjui kuwa Shaffih Dauda Kajuna ni Yanga SC lia lia ila huwa haendeshwi Kishabiki na Kinafiki katika Chambuzi zake.

Leo kwakuwa Kawashika pabaya na patamu pia kwa Kupiga kwenyewe penye Ukweli mtupu mnamchukia na Kumshambulia mbona Siku akiisema Simba SC huwa mnampamba na Kumsifia Mitandaoni?

Tulieni hivyo hivyo Dawa iwaingieni.
 
nyie mnafikili kwann mondi alilinyima kazi pale wasafi fm?
 
Na mlivyo Majuha na Wanafiki hata hamjui kuwa Shaffih Dauda Kajuna ni Yanga SC lia lia ila huwa haendeshwi Kishabiki na Kinafiki katika Chambuzi zake.

Leo kwakuwa Kawashika pabaya na patamu pia kwa Kupiga kwenyewe penye Ukweli mtupu mnamchukia na Kumshambulia mbona Siku akiisema Simba SC huwa mnampamba na Kumsifia Mitandaoni?

Tulieni hivyo hivyo Dawa iwaingieni.
Shafiii ni Simba yule mbona iko wazi! Anaumia kuona msimu huu wana litimu libovu na kule wananchi ndio hawakamatiki!
 
Back
Top Bottom