Shaffih Dauda acha kiherehere

Huyu mtu amekuwa akiandama sana Yanga, najua aanatumwa sasa mwambieni aache kiherehere, mambo ya Yanga atuachie wenyewe

View attachment 2001365

Eti unajua anatumwa...!! Heheee... anatumwa na nani sasa? Tuambie hili ni jukwaa huru, weka wazi ni nani anayemtuma usilete porojo za vijiwe vya kahawa hapa!
Halafu mbona akiisema simba au akimgusa mwanasimba hakuna anayesema katumwa? Badala yake huwa anapuuzwa tu..
 
Shafii kinachomsumbua ni hasira za kukosa nafasi za uongozi katika vyama na timu za michezo, ghiliba zake Wala zisikuchanganye anajulikana vilivyo
Ila msisahau kwamba Dauda Ni shabiki wa Yanga
 
Huyu mtu amekuwa akiandama sana Yanga, najua aanatumwa sasa mwambieni aache kiherehere, mambo ya Yanga atuachie wenyewe

View attachment 2001365
Shaffi,mpira umeshakuwa ccm na chadema!!!
Maana huko ndiko kuliko na kupandikiziana mamluki ili kuhujumiana.

Nijuavyo hujuma za mpira ni ndogo sana ni rahisi kuzitekekeza,haihitaji mamluki.

Shaffii ktk wachambuzi wa nchi hii,kuna wakati ukioneka una akili NA uwezo wa kuchambua soka.

Kufanya ugomvi na watu wa yanga kumevunja heshima yako yoooote.
Binafsi nimekuona popoma,kiazi,ndezi kabisa.

Kwanini usibase kwenye uchambuzi ukalinda heshima yako?
Jitathimini,unaweza potea kabisa kwenye dunia ya soka

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Ila mkifungwa mmesalitiana!!

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Twende mbele na turud nyuma ,pamoja na mapungufu yote ya wachambuzi wetu na watangazaji ila ata uyu haji hayupo sawa ,haji anaweza kuanzisha ktu akawajbu wenzio anavyotaka akirudshiwa kwake mwepes wa kulalamika na kuonekana anaonewa ajaanza leo ata alivyokua simba hana lugha nzur kwa watu akijibiwa anarud kutafuta huruma ya mashabik mfano kama apo ,nan alienza kuongea lugha ya ovyo,tukumbuke shaffih ni mwandishi ,mchambuzi na mtangazaji anafanya kazi yake ya kuripot ,kuandika na kutangaza habari au taarifa unamzuiaje mtu kufanya kaz yake kwa sababu tu haijakupenda kama amevunja sheria vyombo vipo akaripot haji ana tabia ya kupinga kila habar ambayo ipo tofaut na kusifia taasisi yake sasa mara nyng lugha anayotumia sio nzur akirudshiwa yeye ndio tatzo
 
Shafiii ni Simba yule mbona iko wazi! Anaumia kuona msimu huu wana litimu libovu na kule wananchi ndio hawakamatiki!
Shaffih haisemi yanga tu ata simba anaisema sana tu kihabar au kimpra kumbuka kipind kile cha under dog au sakata na fcc na uwekezaji wa mo ata babra amemsema sana , mara nyngne anafanya sawa sawa maana ndio kaz yake ,ila shida ya simba na yanga hawatak kukosolewa kwa chochote wao wanataka yao uwasifie tu sana sana sisi mashabik na baadhi ya viongoz hatutak timu zetu zikosolewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…