Freyzem
JF-Expert Member
- Jun 29, 2013
- 10,120
- 24,667
Huyu mtu amekuwa akiandama sana Yanga, najua aanatumwa sasa mwambieni aache kiherehere, mambo ya Yanga atuachie wenyewe
View attachment 2001365
Eti unajua anatumwa...!! Heheee... anatumwa na nani sasa? Tuambie hili ni jukwaa huru, weka wazi ni nani anayemtuma usilete porojo za vijiwe vya kahawa hapa!
Halafu mbona akiisema simba au akimgusa mwanasimba hakuna anayesema katumwa? Badala yake huwa anapuuzwa tu..