mwibiti fc
Senior Member
- Dec 4, 2019
- 138
- 75
Shadaka Manake shaffih daudaShaffii sio agent uwe na uhakika wa taarifa kabla ya kuposti
Shaffii ni mtendaji tu wa kampuni ya shadaka sports management ambapo hii kampuni ina agent wake mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona hajasema/hajakiri kuwa yeye ni ajenti wa Samatta, isipokuwa ni brand ambassador wa Samatta na partner wa management inayomsimamia Samatta....
Zaidi hiyo management ndio pia inamsimamia Mo Salah.