Shaffih Dauda: Agent wa Mbwana Samata

Shaffih Dauda: Agent wa Mbwana Samata

Mbona hajasema/hajakiri kuwa yeye ni ajenti wa Samatta, isipokuwa ni brand ambassador wa Samatta na partner wa management inayomsimamia Samatta....

Zaidi hiyo management ndio pia inamsimamia Mo Salah.
 
Samatta agent wake ni wazungu wa huko majuu ni moja ya wasimamizi pia wa Mo Salah.

Huyu jamaa ni mtu wa kujipendekeza pendekeza tu.
 
Labda anaogopa roho mbaya za kibongo kujua michongo yake
Mbona hajasema/hajakiri kuwa yeye ni ajenti wa Samatta, isipokuwa ni brand ambassador wa Samatta na partner wa management inayomsimamia Samatta....

Zaidi hiyo management ndio pia inamsimamia Mo Salah.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom